Spika Kingi awatetea maseneta kufuatia madai ya Rais Ruto ya hongo

  • | Citizen TV
    1,013 views

    HAYA YAKIJIRI, SPIKA WA BUNGE LA SENETI AMASON KINGI AMELITETEA BUNGE HILO DHIDI YA MADAI YA RAIS WILLIAM RUTO KUWA KUNA BAADHI YAO WANAOITISHA HONGO YA HADI SHILINGI MILIONI 150 KUFANYA MAAMUZI. SPIKA KINGI SASA AKIWATAKA WAKENYA KUWAAMINI MASENETA, AKISISITIZA KWAMBA WENGI WAO NI VIONGOZI WAADILIFU WENYE KIWANGO CHA JUU CHA MAADILI. HATA HIVYO, AMESEMA KWAMBA IWAPO KUNA USHAHIDI WOWOTE UNAOWAHUSISHA MASENETA NA UFISADI, BASI HAKUNA WASIWASI WA UKWELI KUJULIKANA NA HATUA KUCHUKULIWA