Ngoja ngoja za karo | Wanafunzi wa vyuo Vikuu walalamikia kutofikiwa na fedha za serikali

  • | Citizen TV
    261 views

    Siku moja baada wizara ya Elimu kusema imetuma shilingi bilioni 9.46 kupiga jeki masomo ya zaidi ya wanafunzi laki tatu wa vyuo vikuu nchini, baadhi ya wanafunzi sasa wanasema wangali kupokea fedha hizo hadi sasa. Baadhi ya wanafunzi hawa wakilalamikia kupewa ilani na vyuo kwa kukosa kulipa karo