Wakenya wamtaka Ruto atekeleze vitisho vyake dhidi ya wabunge wala rushwa

  • | Citizen TV
    1,088 views

    BAADHI YA WAKENYA SASA WANAMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTEKELEZA VITISHO VYAKE NA KUAGIZA KUKAMATWA KWA WABUNGE WANAOJIHUSISHA NA UFISADI. HATA HIVYO, WENGINE WANASHIKILIA KUWA VITA DHIDI YA UFISADI VIWAHUSISHE VIONGOZI WOTE WA SERIKALI, NA WALA SI WABUNGE NA MASENETA PEKEE. HAYA NI BAADHI YA MAONI YAO