Wakongwe wa kandanda wa Kenya waungana tena baada yas kihistoria Afrika Kusini

  • | Citizen TV
    295 views

    Je, unawakumbuka wakongwe waliowakilisha Kenya kwenye mashindano ya kandanda nchini Afrika Kusini mapema mwaka huu? Kundi hili la kina mama wakongwe sasa linajiandaa kwa mechi zaidi ughaibuni huku hafla iliyoandaliwa na mmoja wao ikiwaleta pamoja miezi baada ya safari yao ya kihistoria