Kilimo biashara | Wakulima wadogo Kiambu wasifia faida za vivungulio na matandazo

  • | Citizen TV
    312 views

    Wakulima wadogo kaunti ya Kiambu wameendelea kusifia faida za kilimo cha kutumia vivungulio pamoja na matandazo kama njia ya kupunguza gharama, kuokoa maji na kuongeza mazao. Mkulima mmoja katika kaunti hii anasema mbinu hiyo imebadilisha kazi na kipato chake