Hatma ya gavana wa Kericho itaamuliwa na seneti nzima wala sio kamati pekee

  • | Citizen TV
    354 views

    Hatma ya gavana wa Kericho Eric Mutai aliyebanduliwa na bunge la kaunti sasa itajumuisha bunge zima la seneti na wala sio kamati ya maseneta 11. Gavana Mutai akitarajiwa kufika kuanzia jumatano ijayo kujibu madai ya ufisadi na utumizi mbaya wa mamlaka uliosababisha kuondolewa mamlakani na wawakilishi wadi