Ajali ya trela Ruiru yazua msongamano wa magari kwenye barabara ya Thika kuelekea Nairobi

  • | Citizen TV
    525 views

    Trela la mafuta limeanguka eneo la ruiru na kusababisha msongamano wa magari kwenye barabara ya thika kuelekea jijini nairobi.