St. Joseph Kitale yafuzu nusu fainali ya michezo ya shule za Afrika Mashariki kwa kuifunga Agai 3-1

  • | Citizen TV
    346 views

    MABINGWA WA SOKA YA SHULE ZA KITAIFA ST. JOSEPH KITALE, WANAOJULIKANA PIA KAMA JOBO, WAMEFUZU KWA NUSU FAINALI YA MICHEZO YA SHULE ZA AFRIKA MASHARIKI BAADA YA KUIFUNGA SHULE YA SEKONDARI YA AGAI KUTOKA NYANZA 3-1 KATIKA UWANJA WA BUKHUNGU KAUNTI YA KAKAMEGA.