Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja asema hawatomkamata Rigathi Gachagua

  • | TV 47
    582 views

    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja asema hawatomkamata Rigathi Gachagua.

    Rigathi anatarajiwa kutua nchini mnamo Alhamisi.

    Hii ni kufuatia ziara yake ya Marekani.

    KaNja asema kutua kwa Rigathi ni jambo la kawaida.

    Amesema kuwa atachukuliwa kama mwananchi yeyote.

    Kanja asema iwepo Gachagua atakiuka sharia basi watachukua hatua.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __