Fujo zazuka uwanjani JKIA kufuatia kurejea kwa Gachagua

  • | Citizen TV
    26,130 views

    Watu kadhaa wamejeruhiwa kufuatia fujo zilizoshuhudiwa hapa Nairobi baada ya kuwasili kwa Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua kutoka ziara yake ya mwezi mmoja unusu nchini Marekani. Gachagua alilakiwa na viongozi wa chama chake na mamia ya wafuasi huku vurugu na hali ya mshike mshike ikishuhudiwa kati ya wafuasi wake na wahuni katika maeneo ya uwanja wa Jomo Kenyatta