Wanahabari wajeruhiwa na vifaa vay kazi kuibwa kwenye fujo za mapokezi ya Gachagua

  • | Citizen TV
    4,708 views

    WANAHABARI WA ROYAL MEDIA SERVICES, STANDARD GROUP NA TV 47 NI MIONGONI MWA WALE WALIOSHAMBULIWA KWENYE ZOGO LA LEO LILILOSHUHUDIWA WAKATI WA KUWASILI KWA KINARA WA DCP RIGATHI GACHAGUA KUTOKA MAREKANI. VIFAA VYA KAZI VYA WANAHABARI PIA VILIIBWA NA MAGARI KUVUNJWA KWENYE KIZAAZAA CHA LEO.