Ni kwa nini Uganda imekubali kuwapokea wahamiaji waliofurushwa Marekani? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    7,840 views
    Serikali ya Uganda imethibitisha kuweka makubaliano na Marekani ya kuwapokea wahamiaji waliokosa kupata hifadhi nchini humo. Hatua hii ni sehemu ya mpango wa serikali ya Rais Donald Trump kushawishi mataifa mengi zaidi duniani kuwakubali wahamiaji waliofukuzwa nchini humo. Hatua hii imekashifiwa na mashirika ya kutetea haki za kibinadamu duniani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw