Maandalizi ya Harambee Stars kwenye mechi ya robo fainali ya CHAN yakamilika

  • | Citizen TV
    553 views

    TIMU YA TAIFA YA KANDANDA HARAMBEE STARS IMEKAMILISHA MAANDALIZI YAKE YA MECHI YA ROBO FAINALI DHIDI YA MADAGASCAR KATIKA UWANJA WA KASARANI HAPO KESHO. VIJANA WA HARAMBEE STARS WALIFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA WA NYAYO