Ibaada ya mazishi ya Jane Omusula aliyefariki kwa ajali ya ndege ya AMREF yafanyika

  • | Citizen TV
    444 views

    FAMILIA, JAMAA NA MARAFIKI WA MAREHEMU MUUGUZI ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE YA SHIRIKA LA AMREF JUMA LILILOPITA JANE OMUSULA, WALIJUMUISHA LEO KWA IBADA YA MAZISHI. WALIOMUOMBOLEZA WAKIMTAJA KUWA MTU ALIYEKUWA MSTARI WA MBELE KUTOA USAIDIZI NA KUOKOA MAISHA. MAREHEMU JANE ALIFARIKI KWENYE AJALI HIYO YA MWIHOKO WIKI MBILI ZILIZOPITA