Harambee Stars yapania kuishinda Madagascar

  • | NTV Video
    1,520 views

    Harambee Stars inapania kuishinda Madagascar hii leo jioni ili ifuzu nusu fainali ya kuwania kombe la Chan. Mechi hiyo itaanza majira ya saa kumi na moja jioni uwanjani Kasarani.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya