Makaburi zaidi yafukuliwa Kwa Binzaro Kilifi

  • | Citizen TV
    693 views

    Miili minne zaidi imefukuliwa katika eneo la Kwa Binzaro kaunti ya Kilifi. Kufikia sasa, jumla ya maiti 9 waliokuwa wamezikwa bila nguo wamefukuliwa. Zoezi hilo litaendelea wiki ijayo huku wapelelezi wakipania kufukua takriban makaburi 27