Mateso ya mwanablogu

  • | Citizen TV
    765 views

    Mwanablogu anayedaiwa kutekwa nyara na baadaye kulawitiwa sasa amejitokeza na kudai kutelelezwa na kitengo cha ulinzi wa mashahidi. Mwanablogu huyo amesimulia masaibu yake na kuelezea kuhangaishwa na maafisa wa kitengo hicho