Iran yaanza mazoezi yake ya kwanza ya kijeshi

  • | BBC Swahili
    6,240 views
    Iran imeanza mazoezi yake ya kwanza ya kijeshi tangu kumalizika kwa vita vyake vya siku 12 na Israel, Televisheni ya taifa iliripoti Alhamisi. Video iliyosambazwa na jeshi la Iran ilionyesha meli za kivita zikirusha makombora yakielekea katika Ghuba ya Oman na Bahari ya Hindi. Frank Mavura Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw