Kennedy Odede ashinda tuzo la Nelson Mandela

  • | Citizen TV
    90 views

    Kennedy Odede aliweka historia nchini baada ya kuwa mkenya wa kwanza kushinda tuzo ya heshima ya umoja wa mataifa ya Nelson Mandela. Odede amesherehekewa katika ulimwengu mzima kwa kazi yake ya kukuza jamii zinazoishi katika mitaa ya mabanda na makazi duni