Kilo zaidi ya 800 za plastiki zaokotwa kutoka ufuoni

  • | Citizen TV
    130 views

    Zaidi ya kilo 800 za plastiki ziliokotwa katika fuo za bahari eneo la Nyali kaunti ya Mombasa katika hamasisho la utunzaji wa mazingira liliwavutia mamia ya wakaazi