Wabunge wamkosoa kinara wa ODM Raila Odinga

  • | Citizen TV
    908 views

    Siku chache baada ya waziri mkuu mkuu wa zamani Raila Odinga kupendekeza wabunge kupokonywa NGCDF na kupokezwa serikali za kaunti,wabunge wamemkosoa odinga kufuatia pendekezo hilo,na kutaka bunge la seneti kuharakisha mchakato wa kuhalalisha mkoba wa NGCDF kisheria