Mzozo wa Ardhi Kwale: Wakazi wa eneo la Dokata wadai kuhujumiwa

  • | KBC Video
    8 views

    Wakazi wa Kaunti ya Kwale wameitaka serikali iingilie kati kufuatia madai kwamba ardhi yao ya ekari 8,592 imetwaliwa kwa njia ya udanganyifu. Wakazi hao wanadai kuwa chifu wa zamani wa eneo hilo, ambaye sasa ni marehemu, alibadilisha hati miliki ya kampuni ya Dokata Ranch kwa njia isiyo halali na kuiandika jina la Mackinnon Road Dokata Ranch badala ya jina lililokubaliwa awali la North Samburu Duruma Ranch.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive