Uhifadhi Mazingira: Serikali yahimizwa kusitisha matumizi ya kawi ya visukuku

  • | KBC Video
    17 views

    Wanaharakati wa mazingira wanaitaka serikali kusitisha matumizi ya nishati ya visukuku na badala yake kuwekeza katika mipango ya kawi endelevu.Wakizungumza jijini Nairobi, wadau hao walisema kwamba bara Afrika linaathirika pakubwa na athari za mabadiliko ya tabianchi, licha ya kuchangia kwa kiasi kidogo katika utoaji wa gesi zenye madhara duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive