Wabunge wafisadi waonywa

  • | KBC Video
    52 views

    Viongozi wa kidini wamewalaumu baadhi ya wabunge kwa madai ya kushiriki katika mikataba ya kifisadi wanapotekeleza majukumu yao. Wakiongozwa na Askofu Samuel Njiriri wa Kanisa la Stewards Revival Pentecostal, viongozi hao walisema ni jambo la kusikitisha kuwaona viongozi waliochaguliwa wakisaliti jukumu lao la usimamizi kwa ajili ya maslahi yao binafsi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive