Serikali yahimizwa kuwafidia waathiriwa wa ghasia za 2027

  • | KBC Video
    13 views

    Shirika la Wakimbizi wa Ndani kwa Ndani limehimiza serikali kuchunguza upya agizo la rais la hivi majuzi kuhusu mkakati wa kufidiwa kwa waathiriwa wa maandamano ya umma na kuwashirikisha waathiriwa wa ghasia za baada ya uchaguzi wa 2017 kwenye mpango huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive