Agnes Dabo ndiye Miss Tourism, Marsabit

  • | KBC Video
    50 views

    Agnes Dabo mwenye umri wa miaka 19 kutoka eneo bunge la Saku, Kaunti ya Marsabit, ndiye mshindi wa shindano la urembo la Miss Utalii la mwaka 2025. Dabo alitawazwa mshindi kwenye hafla ya kuvutia iliyoandaliwa katika hoteli moja katika Kaunti ya Marsabit. Dabo aliibuka kidedea baada ya kuwashinda washiriki kumi waliofika fainali, na sasa atawakilisha Kaunti hiyo katika mashindano ya kitaifa ya Miss Tourism Kenya yatakaandaliwa mwezi ujao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive