Je umewahi kuusikia au kuumwa ugonjwa wa H.Pyroli?

  • | BBC Swahili
    327 views
    Helicobacter pylori, inayojulikana kama H. ​​pylori, ni aina ya bakteria ambayo inaweza kukaa ndani ya tumbo la binadamu. - Bakteria huyu anaweza kusababisha hali mbaya ya utumbo, ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo na, wakati mwingine, saratani ya tumbo. - Je umewahi kuumwa ugonjwa huu? - - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw