Baba amuua mwanao Kericho

  • | Citizen TV
    310 views

    Mwanamume wa miaka thelatini na saba anaendelea kusakwa na maafisa wa ujasusi kutoka kitengo cha GSU katika Kijiji Cha Kipkosil sehemu ya Bureti Kaunti ya Kericho