Wenye matatu walalamikia kuharibikiwa na magari yao Mombasa

  • | Citizen TV
    357 views

    Wamiliki wa matatu kaunti ya Mombasa wanalalamikia barabara mbovu katika MAENEO ya Bombululu hadi eneo la lights wakisema imechangia kwa magari kuharibika kila mara. Hali hii pia imechangia kuwepo kwa msongamano wa magari hasa asubuhi na jioni