Waalimu wahimizwa kutowafukuza wanafunzi wasiolipa karo

  • | Citizen TV
    133 views

    Huku shule zikiendelea kufunguliwa kwa muhula wa tatu, waalimu wakuu wa shule wametakiwa kutowafukuza wanafunzi ambao hawajamaliza karo na hususan wale wa kidato cha nne ili kuwapa nafasi nzuri ya kujitayarisha kwa mtihani wa mwisho