Viongozi Wanawake watetea sera na uongozi wa Rais Ruto

  • | Citizen TV
    192 views

    Viongozi wawakilishi wa kike wametetea serikali kuhusu miradi ya maendeleo inayofanya mashinani hasa ujenzi wa soko na nyumba za bei nafuu