Watu wa jamii ya Turkana wadai kupuuzwa na kaunti jirani

  • | Citizen TV
    52 views

    Jamii ya waturkana wanaoishi katika kaunti ya Samburu, Isiolo, Marsabit na Laikipia wamelalamikia kubaguliwa katika maswala ya ajira, wakitaka kujumuishwa Serikalini