Serikali yazungusha ua kwenye sehemu zenye misitu

  • | Citizen TV
    68 views

    Kama Njia ya kukabialiana na changamoto kama vile uvunjaji wa sheria zinazodhibiti misitu na uvamizi wa mara kwa mara kutoka kwa wanyamapori serikali imeanzisha mchakato wa kuweka nyua kwenye misitu