Watu wa jamii ya Waturkana wadai kupuuzwa na serikali

  • | Citizen TV
    104 views

    Jamii ya waturkana wanaoishi katika kaunti za Samburu, Isiolo,Marsabit na Laikipia zimelalamikia kubaguliwa katika maswala ya ajira.