Mbunge wa Turkana Kaskazini amechaguliwa mwenyekiti

  • | Citizen TV
    272 views

    Mbunge wa Turkana Kaskazini Shariff Ekuwom Nabuin amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha ODM kwenye kaunti ya Turkana katika chaguzi za mashinani za chama hicho kilichofanyika Lodwar.