Chama cha ODM Tawi la Taveta chapata mwenyekiti mpya

  • | Citizen TV
    347 views

    Chama cha ODM kaunti ya Taita Taveta kimeandaa uchaguzi wa viongozi mbalimbali ngazi ya kaunti huku mgawanyiko wa wanachama ukijitokeza baada ya seneta wa kaunti hiyo Jones Mwaruma kutangazwa kuwa mwenyekiti.