Shule ya upili ya Siyu kisiwani Pate kaunti ya Lamu yatia fora

  • | Citizen TV
    305 views

    Kwa mara ya kwanza katika historia shule ya upili ya Siyu Kisiwa cha Pate eneo bunge la Lamu Mashariki ilipata alama ya wastani ya B katika mtihani wa kitaifa KCSE 2024. kinyume na miaka iliyopita , gredi ya kwanza ilikuwa alama ya D.