Exotica FC ya Samburu mashariki waliibuka mabingwa

  • | Citizen TV
    193 views

    Exotica FC kutoka samburu Mashariki ndio mabingwa wa kombe la wakfu wa nadome,baada ya kuwanyuka huruma FC kutoka baragoi mabao manne kwa tatu kupitia mikwaju ya penalti.