'Duale Awajibike!' | Maraga na COTU watoa kauli kuhusu sakata la SHA

  • | Citizen TV
    896 views

    Jaji Mkuu wa zamani David Maraga sasa anamtaka waziri wa afya Aden Duale kuwajibikia vurugu linaloshuhudiwa katika bima ya afya ya SHA. Maraga sasa akitaka tume ya kupambana na ufisadi EACC kuingilia kati uchunguzi kuhusu ulaghai wa bima hiyo.