Rais Ruto aanzisha mpango wa fidia kwa waathiriwa wa maandamano kuanzia 2017

  • | Citizen TV
    850 views

    Rais William Ruto ameteua wataalamu 18 kutekeleza mpango wa fidia kwa waathiriwa wa maandamano kuanzia mwaka 2017