Wakazi wa Osiri, Kisumu, wakadiria hasara baada ya mvua kubwa ya mawe kusomba mifugo

  • | Citizen TV
    525 views

    Makumi ya wakazi wa kijiji cha Osiri kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara baada ya mvua kubwa ya mawe kusababisha uharibifu Jumatatu usiku. Majumba, madarasa na mazao ya shambani ni baadhi ya vitu vilivyoharibiwa huku mamia ya mifugo pia wakisombwa