Polisi na Maafisa wa FIDA wasema dhuluma zimeongezeka mno

  • | Citizen TV
    112 views

    Polisi katika eneo la Rongo na maafisa wa FIDA wanalaani vikali kuongezeka kwa visa vya unyanyasaji wa kijinsia katika eneo hilo