Wakazi wa Kariobangi North wateta kuhusu maji taka

  • | Citizen TV
    71 views

    Wakazi wa Kariobangi North wanalalamika kufuatia kujaa kwa maji taka yaliyomwagika mitaani mwao kwa wiki moja sasa, hali ambayo wanasema imeathiri maisha yao na shughuli za kila siku.