Suala la kuajiri wauguzi katika kaunti lazua hisia kali

  • | Citizen TV
    59 views

    Hatma ya wafanyakazi wa afya chini ya mpango UHC inazidi kuzua mgogoro zaidi. Hatua ya baraza la magavana kupinga kuhamishwa kwa maafisa hao katika serikali za kaunti kabla ya fedha kutumwa, limewakera wanachama wa muungano wa wauguzi.