Mgawanyiko wa uongozi waibuka katika ODM Kakamega

  • | Citizen TV
    394 views

    Mgawanyiko umeibuka katika chama cha ODM kaunti ya Kakamega kati ya Gavana Fernandes Barasa na baadhi ya wabunge waliochaguliwa kupitia chama hicho.