Washukiwa kadhaa wakamatwa na shehena kubwa ya sukari

  • | Citizen TV
    87 views

    Bodi ya sukari ya kenya (ksb) imeanzisha msako wa kitaifa dhidi ya wafanyabiashara wa sukari wasiozingatia kanuni za biashara hiyo.