Washukiwa 3 wamekamatwa wakiwa na simu mia moja kaunti ya Mombasa

  • | Citizen TV
    798 views

    Polisi jijini Mombasa wamewakamata watu watatu wanaodaiwa kuhusika katika wizi wa simu jijini humo.