Mikakati yaendelezwa kupanda miti zaidi kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    76 views

    Emgwen kaunti ya Nandi wanaiomba serikali kupitia idara ya misitu kuwaruhusu kufanya ukulima ndani ya misitu mbalimbali ili kupata nafasi ya kupalilia na kukuza miti iliyopandwa.