Mvutano wa bunge na serikali | Bunge latajwa kama chombo cha serikali, sio cha watu

  • | Citizen TV
    729 views

    Uhuru wa bunge la kitaifa na lile la seneti umeendelea kuwekwa kwenye darubini, miaka 15 tangu kuanza kutekelezwa kwa katiba ya sasa. Bunge kwa miaka mingi likionekana kutekwa na serikali ya kitaifa kutimiza malengo yake, huku maswala ya uwajibikaji wa maswala yaliyo wazi ukikosolewa na baadhi ya wataalam waliohusika na uratibu wa katiba hii