Mtu mmoja auwawa katika kisa cha kutatanisha Bogambero, kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    55 views

    Huzuni imetanda eneo la Bogambero kata ya nyamosense komosoko, baada ya mwanaume mmoja kuvamia nyumbani kwa mama mmoja na kutekeleza maovu